KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI YAZURU TFNC
Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Bw. Obbey Assery akizungumza wakati ziara hiyo na kutoa rai kwa wabunge kulisemea suala la lishe katika ngazi ya Taifa (Bungeni,) na katika ngazi ya Halmashauri kupitia mabaraza ya madiwani.Ziara hiyo imefanyika Septemba 12, 20
viongozi wa Taasisi ya Chakula na Lishe (hawapo
pichani) baada ya na Lishe Tanzania ikiwa ni ziara ya kujifunza na kuona
shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo. Leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna akitoa mada
kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI iliyotembelea
Taasisi hiyo kwa lengo la kujifunza na kuona shughuli zinazofanywa na taasisi
hiyo. Leo jijini Dar es Salaam.
Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiwa katika picha ya pamoja
na uongozi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania mara baada ya kuhitimisha
ziara hiyo, Leo jijini Dar es Salaam.
Maoni
Chapisha Maoni