KAMATI YA WATAALAMU MRADI WA IMAN WAKUTANA DODOMA

Wajumbe wa kamati ya Wataalamu ya kusimamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha lishe ya wanawake wajawazito wamekutana leo Machi 23, 2023 jijini Dodoma, kwenye kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa masuala mbalimbali ya mradi huo.

Kikao kazi hicho hicho kimeshirikisha wataalamu kutoka Wizara ya Afya, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, UNICEF, CRS, IHI, COUNSENUTH na MUHAS








Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MATOKEO YA UTAFITI WA HALI YA LISHE YA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI YATOLEWA

TFNC YAIBUKA MSHINDI WA JUMLA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

WANAFUNZI WANYWE MAZIWA SHULENI-UMMY MWALIMU.