TFNC YAWANOA WAANDISHI WA HABARI ZA AFYA NCHINI.
TAAASISI YA CHAKULA NA LISHE TANZANIA, YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI, KUHUSU LISHE SAHIHI KATIKA KUKABILIANA NA COVID- 19.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC)
Dkt: Germana Leyna, akizungumza na Waandishi wa Habari za lishe kutoka vyombo
mbalimbali nchini(Hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa semina ya wanahabari
hao, juu ya Lishe katika maambukizi ya Virusi vya Corona.
Baadhi ya Wandishi wa Habari kutoka vyombo
mbalimbali, wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe
Tanzania Dkt: Germana Leyna wakati wa ufunguzi wa Semina kwa wanahabari juu ya
Lishe katika maambukizi ya Virusi vya Corona.
Afisa lishe mtafiti Mwandamizi kutoka Taasisi
ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Medina Wandella, akiwasilisha mada ya
matumizi ya matunda na viungo katika kukabiliana na dalili za ugonjwa wa
Covid-19, kwa waandishi wa habari za afya, wakati wa semina ya wanahabari hao,
iliyohusu Lishe sahihi inayotumika katika kukabiliana na maambukizi ya virusi
vya Corona.
Maoni
Chapisha Maoni