WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA RASMI SIKU YA LISHE, SASA KUADHMISHWA KILA MWAKA KUANZIA NGAZI YA WILAYA HADI TAIFA.
WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA RASMI SIKU YA LISHE, SASA KUADHIMISHWA KILA MWAKA KUANZIA NGAZI YA WILAYA HADI TAIFA. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, akikata utepe kwenye Piramidi ya Lishe, ambayo imebebea mfano wa Vyakula kutoka kwenye makundi matano ya Chakula, kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa Siku ya Lishe, huku Naibu katibu mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt Doroth Gwajima (mwenye skafu) akishuhudua Uzinduzihuo ambao umefanyika mkoani Dodoma katika viwanja vya Nyerere Square. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (Kulia), na Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Doroth Gwajima (Kushoto) wakipokea maelezo ya vyakula vilivyopo kwenye Piramidi ya Lishe,kutoka kwa Afisa Lishe Mtafiti Mwandamizi Rose Msaki, mara baada ya kuzindua rasmi siku ya Lishe iliyofanyika kitaifa Jijini Dodoma. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, akizungumza na Wananchi wa jiji la Dodoma na Wad